Changia Uinjilisti
- Benki
- CRDB
- Jina la akaunti
- MWENGE CHRISTIAN CENTRE UINJILISTI COLLECTION
- Namba ya akaunti
- 0152364706500
Mwenge Christian Centre← BackUngana nasi katika kuendeleza huduma ya Injili na ujenzi wa kanisa. Unaweza kutoa mchango wakati wowote au kuwasilisha ahadi yako ya imani.
Hakikisha jina la mpokeaji ni sahihi kabla ya kuthibitisha malipo.
Mimi nadhamiria kwa imani kumtolea Mungu wangu mali na/au fedha kwa ajili ya Injili ya Yesu Kristo.
Unaweza kuwasilisha ahadi yako wakati wowote. Fomu hii haina kipindi maalumu cha kampeni.
Fomu ya ahadi za imani itapatikana hivi karibuni.
Kuwasilisha fomu hii hakuhamishi fedha. Kwa kutoa mchango sasa, tumia njia za malipo zilizo hapo juu.
Namba hizi ni za mawasiliano tu. Kwa michango, tumia taarifa za malipo zilizoonyeshwa hapo juu.
Kwa umoja wetu ndani ya Yesu Kristo, tushiriki katika kufikia maono haya. Mungu akubariki sana.